New Ads

computer solution

COMPUTER TRICK: JIFUNZE KUSHARE INTERNET YAKO KUTOKA KWENYE LAPTOP BILA KIFAA CHOCHOTE



Windows-PC-Hotspot-swahilitech
POWERED BY MDOPE BLOG

  1. Hakikisha Laptop yako ina Internet Tayari, inawezekana ikawa ni internet ya cable au modem
  2. Washa wirless kwenye computer yako.
  3. Download program kutoka kwenye Link hii http://swahilitech.com/OSTotoHotspot_24984.1.9.4.exe
application-internet-swahilitech

application-internet-swahilitech
4. unaweza kuunganisha sasa,na baada ya hapo waweza kuunganisha simu na vifaavingine kufurahia wireless yenye kasi zaidi. kumbuka Password utaiona hapo juu ( Mara nyingi ni 1234567890)

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]