New Ads

computer solutiontricks

MDOPE BLOG: SASA TUMIA WHATSAPP KATIKA COMPUTER YAKO BILA SOFTWARE>>> (hack mawasiliano ya whatsapp)

MDOPE BLOG>> USITUMIE ELIMU HII VIBAYA NI KWA ELIMU TU
 
  KARIBU KATIKA MAKALA ZA COMPUTER TRICK KATIKA BLOG YAKO UIPENDAYO YA MDOPE BLOG
 
 
FAIDA YA MBINU HII
1: Utaweza kutumia whatsapp kwenye computer yako hata kama simu umeiacha mbali sana kama vile nyumbani, ofisini au nje ya nchi.
2: Itarahisisha kazi ya kuandika message ndefu sana kwa sababu utakua unatumia keyboard za computer yako
3: Utaweza kushare document, Picha, Audio au Video zilizopo katika computer yako kirahisi kabisa
Hizo ni baadhi ya faida tu za kutumia whatsapp kwenye computer yako
4> UTAWEZA KUHACK MAWASILIANO YA MTU UTAKAE TUSOMA MESEJI,KUONAPICHA ZAKE NA VIDOE ANAZOTUMIWA NA KUTUMA PIA KUCHANGE STATUS NK
NB: USITUMIE TEKNOLOJIA VIBAYA HII NI KWA ELIMU TU
Pia hii njia ina baadhi ya changamoto kama vile

1: Mbinu hii inahitaji internet connection ya kwenye simu yako na pia kwenye computer yako

2: Mbinu hii inahitaji umakini sana kwani mtu naweza akaunganisha accout yako ya wahtsapp kwenye computer yako na akaweza kusoma sms zako na pia kupost mambo mabaya kwa kutumia account yako.


HATUA KWA HATUA JINSI YA KUTUMIA WHATSAPP KWENYE COMPUTER / LAPTOP YAKO.

MAHITAJI

1: SIMU YAKO YA MKONONI (SMARTPHONE)
2: COMPUTER YAKO
3: SEARCH ENGINE YA OPERA MINI KWENYE COMPUTER YAKO (kama hauna      download hapa opera mini ) 
4: internet connection kwenye computer na        simu yako

FUATA HATUA ZIFUATAZO

1: ingia kwenye opera mini yako na kisha tafuta mahala palipoandikwa extension kama inavyoonekana hapa

mdope blog
2: Baada hapo bonyeza mahala palipoandikwa Get more extension
mdope blog
3:  Kisha baada ya hapo kitakuja kibox cha kutafuta (search box) na uandike whatsapp web na uchague whatsapp web ya kwanza kushoto  kama hivi
mdope blog
3: Kisha baada ya kubonyeza hapo kwenye hiyo whatsapp ikifunguka bonyeza kitufe cha kilichoandikwa ADD TO OPERA  kama hivi
mdope blog
4: Kisha baada ya hapo bonyeza nembo ya whatsapp ambayo itakia juu kabisa upande wa kulia kama hivi
mdope blog
5: Baada ya kubonyeza hiyo nembo itafunguka , hapo unatakiwa kuweka alama ya Tick kwenye option ya KEEP CONNECTED kama hivi
mdope blog
KISHA BAADA YA KUFUNGUKA HIVYO ACHA COMPUTER YAKO HIVYO HIVYO WALA USIFUNGE INTERNET CONNECTION 

6: Sasa chukua simu yako na ufungue application ya  WHATSAPP  kisha ubonyeze vidoti vitatu vilivyopo juu kabisa ya whatsapp yako na kisha chagua WHATSAPP WEB kama hivi
mdope blog
7: Kisha baada ya kubonyeza whatsapp web itakuja option inayokuelekeza namna ya kuunganisha whatsapp ya simu yako na computer hapo utatakiwa ubonyeze maandishi yalioandikwa OK, I GOT IT kama hivi
mdope bloog
8: Baada ya hapo utatakiwa uielekeze camera ya simu yako kwenye ule mchoro (QR code) uliopo kwenye computer kama huu hapa chini
mdope blog
9: Tulia kidogo wakati umeielekeza camera ya simu yako kwenye huo mchoro mpaka mchoro huo uondoke (mara nyingi simu ikimaliza kuscan huo mchoro hutoa vibration fulani hivi) kisha baada ya hapo itasearch kidogo na baada ya mda mfupi utaona chatting zako zote zipo kwenye computer yako kama hivi
mdope blog
10: kama ukiizima computer yako au search engine yako basi ili kutumia whatsapp tena hautakiwi kuscan ile picha tena unachotakiwa kufanya ni kubonyeza kapicha (icon) ya whatsapp iliopo juu kabisa ya operamini yako kama hivi
www.mdopeblog.com
COMMENT YAKO NI MUHIMU SANA PALE ULIPOKWAMA 
KWA TRICK NYINGI ZAIDI ENDELEA KUWA NASI

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]