New Ads

Blog designtricks

MDOPE BLOG: JE UNATAKA KUJUA MWENENDO WA BLOG YAKO KAMA WATEMBELEAJI???



GOOGLE ANALTIC TOOL ==> Hii ni program maalumu iliyotengenezwa na kampuni ya Google  kwa ajili ya kutoa Tathimini / Ripot Kuhusiana na Maendeleo ya Blog au website yako,  Google analtic Tool inatoa ripoti juu
ya watembeleaji wa blog yako kila siku, nchi wanazotoka, vifaa wanavyotumia na mambo kadha wa kadha. Huduma hii ilianzishwa na kampuni ya google mnamo mwaka 2005.

FAIDA / UMUHIMU WA KUTUMIA GOOGLE ANALYTIC TOOL KWENYE BLOG

Zipo faida nyingi ambazo mtumiaji wa google analytic tool  anaweza kunufaika nazo kama vile:-

1: Hii tool inatoa taarifa sahihi za blog / wesite yako kama vile namba ya watembeleaji kwa kila siku / wiki / mwezi

2: Inakusaidia wewe blogger kuweza kukubalika haraka na makampuni ya matangazo kwa kuwa makampuni mengi huwa yanaangalia sana record ya google analytic tool kwa sababu ile tool ya PAGE VIWER ya blogger haikubaliwi sana hiyo ni kutokana na ukweli kwamba mabloggers wengi huwa wanaboost blog zao hivyo kuzifanya zionekane na namba kubwa ya watembeleaji lakini kwa kutumia google analtic tool hii trick ya kuboost blog viwers haiwezi kurekodiwa hivyo makampuni mengi huangalia record yako ya google analytic tool.

3: Pia inakusaidia kujua blog / web yako inatembelewa na watu wa aina gani nikimaanisha nchi wanazotoka , lugha wanayotumia, pamoja na post wanazopendelea sana kusoma, hii itakusaidia wewe blogger kujua ni aina gani ya post unatakiwa kupost.


NAMNA YA KUUNGANISHA BLOG / WEB YAKO NA GOOGLE ANALYTIC TOOL

FUATA HATUA ZIFUATAZO:-

1 : Igia goole kisha search "GOOGLE ANALTIC TOOL"




2: BAADA YA HAPO UTATAKIWA KUSIGN IN KWENYE KIBOX CHA JUU UPANDE WA KULIA KWA KUTUMIA E - MAIL YAKO :-

3: KATIKA KU SIGN IN FUATA HATUA HIZI:-
I: WEKA E - MAIL ADDRESS YAKO
II: WEKA PASSWORD YAKO
3: BAADA YA KUMALIZA KU SIGN IN ITAKUJA WINDOW NYINGINE AMBAYO UTATAKIWA KUCHAGUA TENA KISANDUKU "SIGN UP"  KAMA HIVI:-

 
4: BAADA YA HAPO ITAFUNGUKA WINDOW NYINGINE AMBAYO UTATAKIWA UCHAGUE OPTION YA "WEBSITE"

5: KISHA BAADA YA HAPO JAZA TAARIFA MUHIMU KAMA ZINAVYOONEKANA HAPO CHINI

6: KISHA BONYEZA KITUFE CHA GET TRACKING CODE

 
7: KISHA SOMA MASHARTI YAO NA UKIRIDHIKA BONYEZA "I ACCEPT"

 


8:  KISHA BAADA YA HAPO ITAFUNGUKA DASHBOARD YA GOOGLE ANALTICS UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KUSHUKA CHINI MPAKA SEHEMU AMBAKO KUNA HII CODE.  UKISHAIKUTA UNATAKIWA KU COPY HIYO CODE

9: BAADA YA KUICOPY NENDA KAIPEST KWENYE BLOG YAKO KAMA HIVI

FUNGUA DASHBOARD YA BLOG YAKO KISHA CHAGUA HIVI :-



BAADA YA HAPO CHAGUA GADGET YA HTML KAMA HIVI:-



BAADA YA KUFUNGUKA HIYO HTML  BASI UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KUPASTE ZILE CODE ZETU HAPO KAMA HIVI:-



BAADA YA HAPO CLICK KITUFE CHA SAVE 



SASA BAADA YA KKUMALIZA KUSAVE HAPO BASI TURUDI KULE KWENYE GOOGLE ANALTICS, UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KU SIGN IN  TENA NA MARA BAADA YA HAPO FUATA HATUA HIZI ILI UONESHWE DASHBOARD YA TAARIFA ZA BLOG YAKO KAMA HIVI:-



MPAKA HAPO TUNAKUA TUMEMALIZA SOMO LETU LA "GOOGLE ANALYTIC TOOL" AMBAYO NI MUHIMU SANA UWENAYO WEWE KAMA BLOGGER NA NI VEMA UKAIWEKA MAPEMA ILI IANZE KUHESABU RIPOTI MAPEMA 


KUMBUKA HUDUMA HII INATOLEWA BLIA MALIPO NA KAMPUNI YA GOOGLE.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]