New Ads

AJIRA ZA AFYA 2024: JINSI YA KUOMBA AJIRA ZA AFYA 9,483 | AJIRA PORTAL


AMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Kumb.Na.JA.9/259/01/B/ 11 7 Julai, 2024 Katibu wa Sekretarieti yaAjira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka ya Serikali za Mitaa inakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenyesifa na uwezo wa kujaza nafasi 9483 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili. 

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]