New Ads

afya

URINARY TRACT INFECTION UTI (Ugonjwa wa UTI)

Overview
A urinary tract infection (UTI) is an infection in any part of your urinary system — your kidneys, ureters, bladder and urethra. Most infections involve the lower urinary tract — the bladder and the urethra.
Women are at greater risk of developing a UTI than are men. Infection limited to your bladder can be painful and annoying. However, serious consequences can occur if a UTI spreads to your kidneys.
Doctors typically treat urinary tract infections with antibiotics. But you can take steps to reduce your chances of getting a UTI in the first place.


UGONJWA WA UTI

 UTANGULIZI
Kwanza kabisa kirefu cha cha herufi UTI nURINARY TRACT INFECTION 
ikimaanisha ni
maambukizi yanayotokana na bacteria kwenye njia ya mkojo.
Msomaji anapaswa kujua njia ya mkojo ni ipi, inaanzia wapi na inaishia wapi. Kwa ujumla
njia ya mkojo inaanzia kwenye mrija wa mkojo kwa mwanaume na mwanamke. Mrija
huu unajulikana kama URETHRA na ukishapata maambukizi ugonjwa sehemu hii unaitwa
URETHRITIS. Njia ya mkojo inayofuata baada ya urethra ni BLADDER yaani kibofu.
Wanawake wanakua na urethra fupi 4cm kulinganisha na wanaume 25cm hivo hali hiyo
hupelekea wanawake kupata UTI kwa urahisi zaidi ukilinganisha na wanaume. Kibofu
kikipata maambukizi ugonjwa unajulikana kama CYCITITIS. Baada ya kibofu inafuata
mirija miwili inayo kwenda kwenye figo mbili. Mirija hii inaitwa ureters na
ikishaambukizwa inajulikana kama URETITIS.Na mwisho wa njia ya mkojo ni figo mbili
yaani kidneys na hizi figo zikishaambukizwa ugonjwa unajulikana kama NEPHRITIS


VISABABISHI
Visabibishi vya ugonjwa huu huambatana na chanzo cha tatizo katika mojawapo ya sehemu husika.
  •  Ugonjwa wa sukari hufanya kiwango cha sukari kuwa kikubwa kwenye damu kwa vile mafigo kazi yake ni kuchuja damu hivyo ni kusema sukari huingia kwa wingi kiasi cha kusababisha vidudu bakteria kuzaliana kwa wingi kwenye figo au kibofu cha mkojo kusababisha maambukizi.
  • Madawa /sumu huchubua utando wa njia ya mkojo na kusababisha bacteria kuzaliana
  •  Matatizo ya vijiwe kwenye figo/ mirija ya mkojo, kibofu, hufanya msongomano wa mkojo na Vijidudu huzaliana.

  •  Maradhi ya Tunda Prostate gland huvimba na kufunga njia ya mkojo matokeo yake kuuzuia na kuuweka mkojo mda mrefu kwenye kibofu mpaka bacteria kuzaliana.

  •  Tendo la ndoa, sexual intercouse unapata vijidudu moja kwa moja kutoka kwa mwanamke mwenye uambukizo

  •  Kujichua, tendo hili mara nyingi watu hutumia mafuta au sabuni ambazo huwa zina kemikali zinazopenya kwenye mrija wa mkojo huwasha na kusababisha

  •  Usafi, aidha kwa kujikamua sana baada kukojoa, kutawaza maji machafu ,kutokuwa na hali ya unadhifu, huko chini kuna vijidudu ambavyo huishi baina ya njia ya haja kubwa na makorodani kutokana na hali ya ujoto humea vizuri na hupata nafasi ya kukuingia kwenye mirija kama utakuwa huna tabia ya kuwapunguza kwa usafi


DALILI
Dalili za UTI zinaonekana kulingana na aina ya maambukizi, lakini dalili kuu kwa watoto na watu wazima zinafanana, zifuatazo ni dalili za UTI kulingana na aina ya maambukizi;
  •  Maumivu wakati wa kukojoa na pengine kutoka uchafu au usaha kwenye njia ya mkojo.
  • Urethritis dalili zake ni kupata maumivu wakati wa kukojoa
  •  Cystitis dalili zake ni kupata maumivu ya tumbo chini ya kitovu na saa nyingine kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu.
  •  Pyelonephritis dalili zake ni Homa, kichwakuuma, kichefuchefu, kutapika, maumivu ya tumbo sehemu za pembeni na mgongo kuuma.

MADHARA

  •  Hatari kubwa ya kukaa na UTI kwa mda mrefu bila kutibiwa husababisha bacteria kusambaa kutoka kwenye kubofu hadi kwenye figo. Bakteria hawa huwe ku athiri utendaji kazi wa figo kitu ambacho ni hatari sana kwa watu wenye matatizo ya figo.

  • Pia kuna uwezekano mdogo wa bacteria hawa kuingia kwenye mfumo wa damu iwapo hali itatokea huweza kusababisha athari katika viungo vingine,

  • Hatari ya mama mjamzito kuwa na UTI huweza kumpelekea kujifungua kabla ya wakati au kujifungua mtoto mwenye uzito mdogo


 MATIBABU YAKE YA KUDUMU
UTI ni ugonjwa unaotibika kabisa, pindi utapopata dalili hizi unashauriwa kufika hospital na kupata vipimo na matibabu ninayo shauri mwanamke au msichana ambae amepima na akakutwa na tatizo hili ni Dawa aina ya Femicare ambayo asilia kwa asilimia 100% dawa hii inauwezo wa kumtibu mtu na kumkinga asipate tena kama utahitaji tiba hii ya kudumu wasiliana nasi kwa namba za simu 
0672473045 / 0768796899 )

mail: ewaldoshao009@gmail.com
Mawasiliano Ya Simu:    0672473045 / 0768796899
Location: Moshi, Kilimanjaro


"DELIVERY YA DAWA ZEETU INAFANYIKA KWA MAENEO YOTE TANZANIA KWA GHARAMA NAFUU ZAIDI"

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]