Blog designtricks
How to change label on blogger (in kiswahili language)
Kwa kiswahili LABEL (LEBO) maana yake ni kategori (categories) za makala zako katika blog,
Kwa Kutumia Categories katika blog unarahisisha watumiaji wa blog yako waweze kutafuta na kupata makala zako kirahisi zaidi yaani mtafutaji / msomaji anakua anapata orodha ya makala zinazofanana kwa kubonyeza lable yake husika kwa mfano habari kuhusu magazeti unakua unazipost na kuziwekea lable ya (MAGAZETI) hivyo msomaji wako akibonyeza sehemu ilioandikwa magazeti basi moja kwa moja ataweza kupata orodha za habari zote zinazohusu magazeti (yaani zile ulizoziwekea lebo ya magazeti)
Kwa Kutumia Categories katika blog unarahisisha watumiaji wa blog yako waweze kutafuta na kupata makala zako kirahisi zaidi yaani mtafutaji / msomaji anakua anapata orodha ya makala zinazofanana kwa kubonyeza lable yake husika kwa mfano habari kuhusu magazeti unakua unazipost na kuziwekea lable ya (MAGAZETI) hivyo msomaji wako akibonyeza sehemu ilioandikwa magazeti basi moja kwa moja ataweza kupata orodha za habari zote zinazohusu magazeti (yaani zile ulizoziwekea lebo ya magazeti)
AINA ZA LEBO (lables) AMBAZO ZINAKUWAPO KWENYE BLOG NYINGI
Kuna aina kuu tatu za lables kwenye blog nyingi ambazo ni:-
1: Primary lables (lebo) ==> Hapa
tunazungumzia zile lables ambazo hukaa juu kabisa ya blog yako kama
inavyoonekana kwenye hiyo picha hapo juu, Labels hizi huwa zinabeba
taarifa / maelezo muhimu ya blog yako mfano MAWASILIANO YAKO (CONTECTS), SERA ZA BLOG YAKO (PRIVACY POLICY), UPATIKANAJI WAKO KWA RAMANI (SITE MAP) N.K
2: SECONDARY LABLES ==> Hapa
tunazungumzia lebo za makala zako yaani lebo zmbazo zimebeba makala
zako mbalimbali mafano ni kama lebo ya MAGAZETI ambapo lebo hii itahusu
magazeti tu na utakua unaiambatanisha na habari za magazeti tu na si
vinginevyol
JIFUNZE NAMNA YA KUTENGENEZA HIZI LEBO YAANI PRIMARY NA SECONDARY LABELS
FUATA HATUA ZIFUATAZO:-
1: sign in kwenye blog yako
2: Baada ya dashboard ya blogger kutokea shuka chini mpaka kwenye neno "THEME / TEMPLATE" kisha libonyeze halafu pakaifunguka tena bonyeza palipoandikwa "EDIT HTML" kama inavyoonekana katika picha hapa chini
3: Kisha baada ya hapo zitafunguka CODE kama hizi hapa chini kwenye picha wala usiogope
4: Baada ya hapo bonyeza key zifuatazo kwenye computer yako ili kurahisisha kazi (Ctrl + S) yaani control na S keys kwa pamoja ukianzia control key na kufuatia S key, Baada ya hapo itakuja window kama hii yenye kibox cha kusearch / kutafuta
5: Sasa kwenye kile kibox cha kutafuta unatakiwa kuandika neno lolote
ambalo lipo katika lable mojawapo ambayo umeikuta kwenye template yako
ulio ibadili, HEBU TUONE MFANO WA HII BLOG YANGU HAPA TUTATUMIA NEO
LILILOANDIKWA KWENYE TEMPLATE NA KULIANDIKA KWENYE KIBOX CHA KUTAFUTA
LENGO NI KUFIKA MAPEMA KWENYE SEHEMU HUSIKA
6: Baada ya kusoma labels (lebo)zako na kuchagua neno moja basi likariri
kwa sababu tunaenda kuliandika kwenye kibox cha kusearch kule kwenye CODE na kisha kuliandika kama lilivto pasipo kukosea kisha bonyeza kitufe cha ENTER kwenye computer yako
7: Baada ya kubonyeza ENTER KEY utashuka mpaka sehemu husika ambapo pana CODE za kubadilisha LABELS (LEBO) zako kama hivi;-
ANGALIZO HAPO UNAVYOBADILISHA UNACHOTAKIWA KUFUTA NI MANENO TU MFANO UKAFUTA NENO KAMA (ANDROID TRICK) NA UNAANDIKA NENO LAKO LA LEBO YAKO LAKINI USIFUTE ALAMA HATA MOJA MAANA ITAGOMA KUSAVE.
8: Ukishamaliza kubadilisha lebo na kuweka unazozitaka utakachotakiwa kufanya ki kubonyeza sehemu iliyoandikwa SAVE template na kisaha kuangalia matokeo kama hivi:-
9: Matokeo yanaweza yakaja kwa ania mbili
I: Kukubaliwa kwa mabadiliko yako, hapa utaona kuna maneno fulani hivi ya WARNING huwa yanajitokeza kukupa tahadhali tu kwamba usibadilishe alama zilizotumika na maneno yake, HUWA YAPO KAMA HIVI KWENYE PICHA SO YAKITOKEA HAYO USIJALI MAMBO MURUA
II: KAMA UMEKOSEA basi itakuja ujumbe wa kukosea ambao unakua na sentensi ifuatayo
"Error parsing XML, line 21, column 3: The element type "b:if" must be terminated by the matching end-tag "</b:if>" Huo ni mfano tu kwa hiyo maneno haya yanakuelekeza ni wapi umekosea na urekebishe LAKINI
KAMA WEWE SIO MJUAJI WA CODE NAKUSHAURI BONYEZA KEY ZIFUATAZO KURUDI
NYEMA (KU UNDO) BONYEZA (Ctrl + Z) key ili kuahirisha mabadiliko kayo
lakini kama una utaalamu unaweza ukarekebisha kosa tu mfano wa picha huu
hapa choni:-
No comments:
Post a Comment