computer solution
COMPUTER TRICKS: JINSI YA KUUNGANISHA SIMU YAKO NA INTERNENT,,,MITANDAO YOTE TANZANIA
NAMNA YA KUSET CONFIGURATION ZA INTERNENT KATIKA SIMU YAKO YANDROID ILI KUPATA INTERNET ACCESS
Kwa kawaida simu ili ipate kuaccess mtandao yaani internent kuna kitu kimoja cha msingi sana ambacho ni APN (ACCESS POINT NAME) ndio utaweza kuputa internet katika simu yako
APN hutolewa na mitandao yaani mara nyingi ukibadili line (sim card) kuna messege wanakutumia huwa inakua inaitwa configaration message, hizo ndio APN za internent
Sasa dhumuni ya makala yetu ya leo ni kukuelekeza wewe msomaji ili uweze kufanya na kuweka APN wewe mwenyewe, kwani mara nyingoi ndugu jamaa na marafiki huwa wanakumbwa na shida hii.... utaskia simu yangu haiingii mtandaoni naomba msaada.... SASA MSADA UMEPATIKANA NA WEWE USIAIBIKE SASA TUMIA MAKALA HII KUJIFUNZA... japo si ngeni sana baadhi ya watu.
fuata hatua hizi
Tunaanza kama ifuatavyo
- Bonyeza >>>> Menu
- kisha “Settings”utashuka chini kidogo utakuta neno “Wireless Networks”
- Bonyeza tena “More”
- Kisha “Mobile Networks”
- kisha “Access Point Names”
- Chagua mtandao unaotaka kufanya setting kwa simu za Dual sim e.g. Vodacom
- Kisha bonyeza ; New APN
- HATUA HII JAZA NAFASI HIZO KWA KUANGALIA HAPA CHINI NI MTANDAO GANI UNATUMIA
kumbuka si lazima kujaza sehemu zote ila muhimu sana na lazima ni NAME & APN
Kumbuka : save setting zako kisha zima na kuwasha simu yako
SASA FURAHIA INTANENT BILA WASIWASI WOWOTE ULE .........>>>>>
COMMENTS AND SHARE
APNs ZA TANZANIA VODACOM Name = Vodacom APN :Internet
AIRTEL TZ : Name: Airtel APN: Internet IP-ADDRESSS: 10.10.09.30
Port:8080
TIGO TZ Name: Tigo
APN: tigoweb
ZANTEL Name: Zantel
APN: znet
No comments:
Post a Comment