New Ads

computer solution

INCREASE SPEED ON YOUR PC (Swahili)



MDOPE DESIGNER
KUMBUKA USITUMIE TEKNOLOJIA VIBAYA KAMA WIZI HII NI KWA ELIMU TUU

Katika wiki hili kwa wale wenye computer zinazo chelewa katika internent so suruhisho limepatikana sasa. bila ya kutumia device nyingine wala bila kutumia program cha kufanya wewe fuata hatua hizi
Katika somola leo kama kichwa cha habari kinavyosema Tunajifunza jinsi ya kudouble internet speed ya computer yako kwa kutumia CMD. yana kama speed ya internet yako ni 50% itaongezeka na kuwa 100%. kama ni 100% itaongezeka na kuwa 200%. hii trick iko approved. FATA STEPS HIZI RAHISI

1. Nenda kwenye sehem ya ku search kwenye computer yako na andika cmd au bofya window key+R kwa pamoja kitakuja kibox na andika CMD bofya kisha enter

2. chagua Run as administrator (kama ulitumia njia ya kusearch katika starup menu)

3 then ENTER

4. Andika cd/ then ENTER

5. Andika netsh int tcp show global then ENTER

6. Andika netsh int tcp set global chimney=enabled then ENTER

7. Andika netsh int tcp set global autotuninglevel=normal then ENTER

8. Andika netsh int tcp set global congestion provider=ctcp then ENTER

9. Andika netsh int tcp show global then ENTER

10. Restart computer yako


TAZAMA VIDEO HII
     

COMMENT YAKO MUHIMU SANA>>>>

PIA 

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]