New Ads

computer solution

TENGENEZA MATRIX EFFECT TRICK KATIKA COMPUTER YAKO KWA KUTUMIA NOTEPAD

By Joe_

NB: Hii ni kwa Elimu tuu  usitumie teknolojia vibaya



MPENZI MSOMAJI WATU WENGI HUSUSANI VIJANA WANAPENDA SANA KUONEKANA WAJUZI WA COMPUTER NA TEKNOLOJIA KWA UJUMLA HIVYO WEWE KAMA KIJANA MWENZANGU HUJACHELEWA KWANI MDOPE COOPERATION BLOG NDIO MSAADA WAKO

SOMA HII PIA IFANYE COMPUTER YAKO IKUKARIBISHE KWA KUTAJA JINA LAKO PINDI INAPO WAKA

HIVYO LEO TUTAJIFUNZA KUTENGENEZA MATRIX EFFECT..
Najua wengi wetu tumeitazama movie ya matrix ya bwana Neo,,, sasa katika ile movie kuna effect fulani zilikua zinaonekana katika COMPUTER NA RANGI YA KIJANI  SASA LEO NI WAKATI WAKO WA KUJIFUNZA SASA

FUATA HATUA ZIFUATAZO

1. FUNGUA NOTEPAD KATIKA PC YAKO NA COPY & PASTE  CODE HIZI CHINI ZA            RANGI YA BLUU

@echo off
color 02
:start
echo %random% %random% %random% %random% %random% %random% %random% %random% %random% %random%

goto start

2. SAVE FAILI (file) KAMA MATRIX.bat (kumb save kwa jina lolote akini .bat

3. SASA FUNGUA FILE ULILOSAVE KWA KUDOUBLE CLICK UONE MAAJABU HAYO

NI UHAKIKA INAFANYA KAZI KWA ASILIMIA 100%

COMMENT YAKO MUHIMU >>>>>>>>

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]