computer solution
HOW TO RESET PATTERN LOCK ON SMARTPHONES (In Swahili)
KUMB: Tumia trick hii vizuri usitumie kwa uhalifu. Natoa kwa ELIMU Tuu..
MPENZI MSOMAJI WA BLOG YETU LEO KATIKA TEKNOLOJIA TUMEKUUANDALIA NAMNA YA KUTOA PATTERN AU PASSWORD KATIKA SSIMU YAKO YA ANDROID
KAWAIDA KUNA NJIA MBILI
NJIA YA KWANZA
NI KUTUMIA E-MAIL YAKO YA GMAIL ULISAJILIA KATIKA PLAY STORE YA SIMU HAPO UTAINGIZA EMAIL NA PASSWORD ZAKE SIMU YAKO ITAFUNGUKA
NJIA YA PILI
NJIA HII HUTUMIAKA PALE AMBAKO UMEKOSA SURUHISHO LA KUFUNGUA SIMU YAKO ULIOSAHAU PATTERN AU PIN CODE KWA KUTUMIA EMAIL
FUTA HATUA GIZI
HATUA YA KWANZA
Zima simu yako na toa bettry kwa sekunde kadhaa au hadi dak 1 au 2
HATUA YA PILI
Rudishia bettry katika siu yako lakini usiwashe simu yako
HATUA YA TATU
Kabla hujawasha simu bofya kwa pamoja usiachie vitufe vya kupandishia na kushushia sauti vilivyopo pembeni mwa simu yako . Simu nyingine unabofya kutufe cha kuongezea sauti na KIUFE CHA HOME pale chini
HATUA YA NNE
Huku ukiwa umefanya HATUA YA TATU Sasa bofya kitufe cha kuwashia kwa pamoja na hivo katika hayua ya tatu. KUMBUKA SIMU IKIWAKA TUU ACHIA VITUFE HIVYO
HATUA YA TANO
Hapa sasa itakuletea MENU ya siri ya ANDROID Hivyo tumia vitufe vya sauti kuchagua orodha iliyokuja hapo.. Chagua wipe data factory resert kwa kubofya power key au simu nyingine unatumia kitufe cha kuzimia kuchagulia hiyo factory resert
HATUA YA SITA NA MWISHO
Subiri simu imalize kufuta data katika simu yako.Na itazima na kuwaka yenyewe iache iwake yenyewe NA ITACHUKUA MUDA MFUPI KIASI KAMA DAKIKA TANO HADI KUMI NA TANO.
MUHIMU: NJIA YA KWANZA YA KUTUMIA E-MAIL HAIFUTI DATA, PICHA, VIDEO NA CONTACT ZILIZOPO KATIKA MEMORY YA NDANI YA SIMU(Internal memory)
:Njia ya pili hii inafuta vitu vyote vilivyopo katika memory ya ndani lakini ya nje vyote vinabaki yaani inakua kama simu mpya
FURAHI TEKNOLOGIA BY MDOPE COOPERATION BLOG
No comments:
Post a Comment